Ofisi ya Bunge Dodoma Tanzania imetoa taarifa kuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kunyang’anywa na Bunge gari lake alilokua analitumia kwenye shughuli mbalimbali za kumuhudumia Tundu Lissu Nairobi Kenya.
Ofisi ya Bunge imesema ililazimika gari hilo lirudishwe Tanzania na kuegeshwa kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha kwasababu Dereva wake hakua amekamilisha taratibu za kiofisi kama inavyotakiwa hivyo sasa hivi yuko Dodoma kuzikamilisha, bonyeza play hapa chini kupata taarifa yote kwa ukamilifu na kujua hatua alizotakiwa kuzipitia Dereva.
Ofisi ya Bunge yaongea kuhusu Mbowe kunyang’anywa gari Nairobi
Reviewed by Unknown
on
September 29, 2017
Rating:
![Ofisi ya Bunge yaongea kuhusu Mbowe kunyang’anywa gari Nairobi](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiYmvxTBpot5m46Dy0FQRhqOFCBeysIgfU-QI5v-CqZFS3bFT7wpt9dCLIyGv_atZ6Icd7KMr9AsVAtcQuiNDVEpX4Kxdg9OwjeTlre5X-AnHE9b8yM0Mgbf5pwb8f5anELxMSgDL9-rXN2/s72-c/br2.png)
No comments: