Zitto aandika akiwa Polisi, asema amri ya kukamatwa kwake ilipotoka

Jioni ya September 20 2017 Dar es salaam Mbunge wa Kigoma mjini ambae pia ni kiongozi wa ACT WAZALENDO Zitto Kabwe alikamatwa na Polisi uwanja wa ndege akiwa anatokea Kigoma.
Baada ya kukamatwa na watu kuwa na shauku ya kutaka kujua imekuaje, dakika zaidi ya 120 toka alipokamatwa Mbunge huyo ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba amekamatwa kwa amri ya Spika Job Ndugai na kesho atasafirishwa kupelekwa Dodoma.
Zitto aandika akiwa Polisi, asema amri ya kukamatwa kwake ilipotoka Zitto aandika akiwa Polisi, asema amri ya kukamatwa kwake ilipotoka Reviewed by Unknown on September 29, 2017 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.