AFRIKA NA VIWANGO VIPYA VYA FIFA

Kwa viwango hivi vya FIFA!!
Kwa mujibu wa viwango vipya vya FIFA vilivyotangazwa leo tarehe 23 Novemba, 2017 vinavyotoa taswira ya kuelekea Fainali za Kombe la Dunia 2018 nichini Urusi (Kwa Dk. Shika) Afrika licha ya kusuasua kwa nchi zake kushiriki; Afika bado ina kazi kubwa ya kujinasua katika nafasi za chini za orodha yake katika ubora wa Dunia.

Orodha ya nchi za Afrika katika 10 Bora Afrika na nafasi zao katika kidunia na nafasi zao kidunia kwenye mabano ni  ifiatavyo:- 
1. Senegal (23)
2. Tunisia (27)
3. Misri (31)
4. DR. Congo (36)
5. Morocco (40)
6. Bukinafaso (44)
7. Comeroon (45)
8. Nigeria (50)
9. Ghana (51)
10. Ivory Coast (61)
Tanzania imepanda kwa nafasi moja katika viwango kwa nafasi ya 158


AFRIKA NA VIWANGO VIPYA VYA FIFA AFRIKA NA VIWANGO VIPYA VYA FIFA Reviewed by Unknown on November 23, 2017 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.