SIRI YA GRIEZMANN PEUPE

MED NEWS.
Na. F. Pembe

Antoin Griezmann (26)  Mcheza Nyota wa klabu ya Atletico Madrid Na Timu ya Taifa ya Ufaransa  Amekua Akigusa vichwa mbalimbali vya Habari Kutokana na Kuitajika Na vilabu Mbalimbali Barani Ulaya Ikiwemo Manchester United Pamoja na Barcellona Ameweka Wazi Yakua Anatamani Msimu Wake Wa Mwisho Wa Soka Akacheze Katika Ligi kuu Nchini

Marekani Kama Ilivyo Kwa Model Wake David Beckham Pia Griezmann Ambae Anamkataba na Atletico Madrid Mpaka Mwaka 2022 Amesisitiza Kua Pamoja na Kukosa Vikombe Mbalili Ila Bado Anafuraha Ya kutosha Ya Maisha ya Nchini Spain Hata Ivyo Imebainika kua Griezmann Huwasiliana Mara kwa Mara Na Nyota Wazamani Wa Atlettico Madrid Na Barcellona David Villa Ambae Anachezea Klabu ya  New York City Kuhusiana Na Manchester United Griezmann Alisema Inawezekana  Kwani Awezi Kusema Atakaa A.Madrid Milele Ila Kuhama Kunategemea Na Sababu Za Msingi
SIRI YA GRIEZMANN PEUPE SIRI YA GRIEZMANN PEUPE Reviewed by Unknown on November 23, 2017 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.