DYBALA AMTAMANI NEYMARY JR

Paulo Dyabala (24) nyota chipukizi anaefanya vizuri  na klabu ya Juventus nchini Italia Ambae ameifungia klabu iyo magoli 56 ndani ya michezo 112 aliyoitumikia klabu iyo, Hivi karibuni amenukuliwa na vyombo vya habari akisema kua anatamani sana kuja kucheza na mchezaji ghari kwa sasa dunia Neymar Jr  kumekuwepo na uvumi mwingi unaomuhusisha Dybala kuhama katika klabu yake ya sasa yenye makazi yake jijini torini nchini Italia hata ivyo Dyabala amekanusha huvumi huo. 
DYBALA AMTAMANI NEYMARY JR DYBALA AMTAMANI NEYMARY JR Reviewed by Unknown on November 23, 2017 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.