Na MED News
F. Pembe
Baada ya jana kupigwa mtanange wa nguvu usiokuwa na mbabe kati Leicester City Vs West ham wakitoka bila kufungana; leo ligi iyo itaendelea kwa mechi kadhaa:-
Saa 12:00
Crystal palace Vs Stoke city
Man Utd Vs Brighton
Newcastle Vs Watford
Swansea Vs Bournemouth
Tot Spurs Vs West bromich albion
Saa 08:30
Liverpool Vs Chelsea
RATIBA YA LIGI KUU UINGEREZA KWA
Reviewed by Unknown
on
November 25, 2017
Rating:
No comments: