MNARA WA UHURU UTAMBULISHO WA ENEO LA MAJENGO DODOMA


Na. MED News
Mnara wa Uhuru maarufu kama Independence Square ulioko katika eneo la Majengo Sokoni ni moja kati ya sanaa za kale zenye kuhifadhi historia ya Mkoa wa Dodoma kwa vizazi vya sasa na vya baadae. 

Uhai wa mnara huu umekuja baada ya ujenzi wa nyumba za kibiashara zilizoko kando ya mnara huo ambako baadhi ya wafanya biashara na makampuni yamechukua jukumu la kuhifadhi hadhi ya mnara huo na pia kuuongezea hadhi kwa kuukarabati au kuunakshi kwa rangi.

Muonekano wa Mnara wa Uhuru ulioko katika eneo jirani na soko la Majengo Dodoma



 Majengo ya kibiashara yaliyoko eneo la Mnara wa Uhuru ambayo pia kwa kiasi kikubwa yamelifanya eneo hilo kuongezeka hadhi yake.

(Picha zote na MED News)
MNARA WA UHURU UTAMBULISHO WA ENEO LA MAJENGO DODOMA MNARA WA UHURU UTAMBULISHO WA ENEO LA MAJENGO DODOMA Reviewed by Unknown on November 18, 2017 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.